TREVO ni kampuni toka Marekani iliyozinduliwa hapa jijini Dar es Salaam tarehe 11 mwezi novemba 2014, kwenye ukumbi wa Golden Jubilee. Kampuni hii inamilikiwa na Mark Stevens pamoja na mkewe Holli Stevens. Wawili hawa wana uzoefu wa miaka zaidi ya 16 wa kumiliki kampuni za kwenye mtandao. Kampuni hii makao makuu yake yapo katika jimbo la Oklahoma, nchini Marekani.Kampuni hii inatengeneza kimiminika chenye virutubisho vingi sana mwilini kwa ajili ya ustawi wa afya za wanadamu na kuongeza kipato cha wananchi walio tayari kubadili maisha yao yenye changamoto nyingi ikiwemo changamoto za kifedha na kiafya. Angalia na jifunze kutoka kwenye tovuti ya TREVO kimataifa
Angalia na sikiliza hii. Bofya (Huyu ni mwanzilishi wa TREVO duniani toka Marekani)
Ukijiunga unapatiwa account yako kujua taarifa za malipo/faida zako na watu walio chini yako. Wasiliana nasi kupitia simu: +255 713 463085 Email: kalumuna2011@gmail.com na Skype: geofrey.kalumuna ili Ubadilishe maisha yako sasa!!!!
No comments:
Post a Comment