
Hakika nguvu ya fursa ya Trevo iko katika fidia njia moja kuu.Trevo inawezesha kila mtu kufanya kazi katika timu moja kwa malengo yanayofanana. Ukiwa umejiunga na Trevo, kila mtu ambaye anajiunga na kampuni yetu kokote ulimwenguni baada yako anakuwa chini yako na anaendelea kuchangia kipato chako siku zote. Pia unapata faida ya moja kwa moja kwa kila mtu unayemuunga katika biashara hii na utaendelea kupata faida yaani bonus toka kwenye mauzo ya kila mtu uliyemuingiza na watu walioingizwa na mtu uliyemuingiza.
Hii inakupa fursa ya kuwa sehemu ya faida ya kutoka katika kampuni hii. Kumbuka biashara hii inaweza kufanywa yoyote awe mwanafunzi, mama wa nyumbani, mkufunzi, mwalimu, daktari, nesi, mfanyabiashara nk kwa nia ya kuongeza kipato na kutengeneza biashara kubwa ya kimataifa. Jiunge sasa, wasiliana nasi sasa, hakika kiingilio si kikwazo kwako.Tuandikie upate fomu ya kujiunga.
Kwa kupata maelezo zaidi tuandikie ujumbe au tupigie simu +255 713 463085 (whatsapp pia). Kama ukiacha ujumbe, tutumie namba yako ya simu ili tuwasiliane nawe mapema iwezekanavyo!