Tofauti ya TREVO na biashara zingine za mtandao ni kama ifuatavyo:
- Trevo ina viwango tofauti vya kuanzia kufanya biashara, ambapo waweza kuchagua kiwango unachoona kinakufaa wewe binafsi. Viwango hivi vimetajwa kama PS1, PS2, PS3, PS4, PS5 na PS6. PS1 ni kiwango unachoweza kuanzia kwa mtaji wa Tshs 187,050/ na PS6 ni kiwango cha kuanza biashara kwa mtaji wa Tshs 3,403,150/.
- Unaweza kujiunga na Trevo na kuamua kufanya biashara kwa reja reja na ukapata faida ya asilimia 20 hadi 40. Pia ukinunua chupa moja ya TREVO kwa kwa Tshs. 100,400/= na kuuza kwa Tshs. 195,000/, hicho kikiwa ndio kiwango cha chini. Tazama faida ya moja kwa moja.
- Kwa ujumla kuna njia kuu 8 za kupata fedha kutokana na kufanya biashara ya kinywaji cha Trevo.
- Aidha, Kampuni inatoa tovuti binafsi ya bure kwa kila mwanachama aliyejiunga ili aweze kuitumia katika kuendesha biashara yake. Kwa maneno mengine utakuwa na ID yako, account yako ndani ya tovuti yako unayoweza kuona mambo mengi ikiwemo mtiririko wa malipo na faida zako kwa kila mwezi kwako binafsi na kwa walio chini yako. Hakika kufanya biashara hii ni suala rahisi sana!
- Mafunzo kuhusu uendeshaji wa biashara hii hutolewa kila siku na ni bure kwa mtu yoyote mwenye nia!
- Kampuni hii ya TREVO ina bidhaa moja tu inayojiuza yenyewe ambapo mara baada ya mtu kuitumia inampa mafanikio ya ajabu kabisa na hivyo mtu aliyesaidiwa na TREVO atalazimika kumwambia mwenzake mwenye matatizo kama yake ili asaidiwe. Hakika hi TREVO inazungumza yenyewe. Ukifanya biashara na kampuni ya TREVO inakufanya uuze mali yako yote na kubakia na faida kubwa mkononi bila kuwa na mrundikano wa bidhaa ambazo hazijauzwa ndani ya nyumba yako. Jiunge na TREVO sasa!
Ukijiunga unapatiwa account yako kujua taarifa za malipo/faida zako na watu walio chini yako. Wasiliana nasi kupitia simu: +255 713 463085 Email: kalumuna2011@gmail.com na Skype: geofrey.kalumuna ili Ubadilishe maisha yako sasa!!!!
No comments:
Post a Comment