Malipo ya TREVO


Kampuni ya TREVO Tanzania inakuwezesha wewe uliye tayari kupata malipo kupitia njia kuu 8 na kipato chako kitazidi kuongezeka kulingana na idadi ya chupa ulizoanza nazo, mauzo yako kwa mwezi, idadi ya wanachama walio chini yako (wale uliowaingiza kwenye kampuni na walioingizwa na wale uliowaingiza) pamoja na mauzo ya wanachama walio chini yako.
Kitu kingine kizuri, TREVO Tanzania inalipa bonus ya papo kwa hapo pale unapo mwingiza mwanachama mpya katika mtandao wako. Mfano, chukulia wewe ni mwanachama uliyeanza na chupa 3 kwa Tshs 466,700/  na ukamwingiza mwanachama mwingine chini yako kwa chupa 3 kama wewe, unapata bonus ya papo kwa hapo ya 100,800/.
Trevo inakupa malipo kwa kila chupa ya ziada unayonunua wewe na wanachama walio chini yako kwa kiwango cha asilimia 20 ya bonus yako. Trevo inafanya hivyo kwa kila mwanachama aliye chini yako hadi ngazi 8.
Hapa tumedokeza kidogo tu faida za mpango wa ulipaji wa kampuni hii ya TREVO Tanzania. Kwa maelezo ya kina tupigie simu, tuandikie ujumbe wa SMS/WhatsApp au barua pepe. 

Hakika hutajuta kujiunga na TREVO ila utajilaumu kwanini hukufanya maamuzi mapema. Hakika watu wengi sasa wanatajirika na kuinua maisha yao kwa kuwa na maisha bora na yenye furaha kwa kuweza kujenga ama kununua nyumba, kununua magari, kusomesha watoto kwenye shule nzuri, kusaidia ndugu na jamaa, kusafiri popote duniani nk.

Ukijiunga unapatiwa account yako kujua taarifa za malipo/faida zako na watu walio chini yako. Wasiliana nasi kupitia simu: +255 713 463085 Email: kalumuna2011@gmail.com na Skype: geofrey.kalumuna ili Ubadilishe maisha yako sasa!!!!

No comments:

Post a Comment