TREVO ina pokea mtu yeyote anayependa kufanya biashara ya mtandao bila kujali kiwango cha elimu au kipato cha mtu binafsi. TREVO inaangalia nia ya kweli ya mtu katika kutaka kujiunga na kufanya biashara na pia inatoa fursa ya mtu kuchagua kiwango cha mtaji anachopenda kuanza nacho. Aidha mtu anayejiunga atapata msaada wa mafunzo ya jinsi ya kufanya biashara hii ya mtandao ambayo imeinua maisha ya watu wengi duniani na Tanzania kwa ujumla.
Ukijiunga unapatiwa account yako kujua taarifa za malipo/faida zako na watu walio chini yako. Wasiliana nasi kupitia simu: +255 713 463085 Email: kalumuna2011@gmail.com na Skype: geofrey.kalumuna ili Ubadilishe maisha yako sasa!!!!
No comments:
Post a Comment